za chupi tuu, hadi za mbususu hali ni mbaya na hili limefumbiwa macho siku nyingi baada ya kukolea sasa ndo linaanikwa waziwazi.Baada ya maoni mbalimbali juu ya PhD zinazotolewa kwenye vyuo vya Tanzania ni dhahiri kuwa kuna biashara nzuri kwenye eneo hilo. Hii ni aibu kwa Vyuo vyetu na kuna haja ya uchunguzi kufanyika. Naamini soon tutakua na PhD za chupi. Wasalaamu Mdau wa PhD.
Unaweza kutoa sababu kwa ulichokiandika hapa ?Chuo cha UDOM Malecturer wote kuanzia tutorial mpaka profesa watimuliwe, kazi imewashinda ni wala rushwa wakubwa, mashetani wanaotembelea kivuli cha binadamu, hawafai kabisa.
Na adhabu yao wafungiwe jiwe kubwa shingoni mwao watupwe baharini. Wanastahili kunyongwa.
Na UDOM ifutwe, ifanywe kivutio cha watalii na nyumba za mabalozi wanaotoka nje.