Ni wazi sasa fikra za watanzania zinaamuliwa na ama Uislam au Ukristo

Ni wazi sasa fikra za watanzania zinaamuliwa na ama Uislam au Ukristo

busar

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,067
Asalam.

Dini ina umuhimu sana katika maisha ya Tawala za Kidunia. Dini ni nyenzo muhimu ya ama kujitambua ama kuwa kutazama mambo katika mlengo flani

Kwa Tanzania, Waislam wanajiona nduguzao ni waislam wenzao.
Wakristo wanajiona ndugu zao ni wakristo wenzao.

Mitazamo hii inaathiri mambo mengi hata yale ya ovyo ovyo. Mfano, Rais akifanya uteuzi Mkristo atasoma ukurasa mzima wa Utezi kuona majina ybayoshabihiana na Ukristo. Hata kama hana nasaba nao ya damu na mwili, atafurahi kwakuwa na nasaba nao ya masuala ya Ukristo. Halikadhalika na Mwislam hivyo hivyo.

Haya utayona hata katika maongezi ya kawaida.

Sasa jambo hili limekuwa tatizo sana kiasi kwamba kiongozi hata awe mbovu vipi lkn kwa kuwa uko nae dini moja hautampinga.

Awamu zetu sita zimetufundisha mengi. Sasa tutaendelea na ujinga huu hadi lini ?
 
Back
Top Bottom