johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tafuta CV yake,amesoma USA na kazi ameanzia USA . Mke wake pia ni moja ya wanawake wenye akili zaidi nchini Tanzania.Huenda akatufaa wa TzNyarandu ana mahusiano mazuri na nchi za ulaya na amerika tena yey binafsi.
Sijawahi kujua aliyatengeneza vip
Mbona mnamwogopa Lisu hivyo....Lisu ndo atakaepita, Nyalandu hana ushawishi maana kuna baadhi ya sehemu ndani ya nchi hii hajulikani. Lakini Lisu anajulikana hadi kwa Mungu, kwanza ni m beba maono, Mungu hakumwokoa na risasi 16 burebure, kuna kitu Mungu aliona hivyo hata binadamu wasipotaka Mungu atampitisha. Risas 16 zikuppate si mchezo, we hata ikuchune moja tu tunakubadilisha jina sasa hivi
dah kama nakuona vile,maisha haya yakikupiga unasahau kama una akili timamu, endelea kumpambaMbona mnamwogopa Lisu hivyo....Lisu ndo atakaepita, Nyalandu hana ushawishi maana kuna baadhi ya sehemu ndani ya nchi hii hajulikani. Lakini Lisu anajulikana hadi kwa Mungu, kwanza ni m beba maono, Mungu hakumwokoa na risasi 16 burebure, kuna kitu Mungu aliona hivyo hata binadamu wasipotaka Mungu atampitisha. Risas 16 zikuppate si mchezo, we hata ikuchune moja tu tunakubadilisha jina sasa hivi
Lisu anajulikana kila mahali,uongo wa mchana kweupe ,nenda tanzania vijijijin kawaulize kati ya watu 10 wangap wanamjua utaambiwa 2 tuMbona mnamwogopa Lisu hivyo....Lisu ndo atakaepita, Nyalandu hana ushawishi maana kuna baadhi ya sehemu ndani ya nchi hii hajulikani. Lakini Lisu anajulikana hadi kwa Mungu, kwanza ni m beba maono, Mungu hakumwokoa na risasi 16 burebure, kuna kitu Mungu aliona hivyo hata binadamu wasipotaka Mungu atampitisha. Risas 16 zikuppate si mchezo, we hata ikuchune moja tu tunakubadilisha jina sasa hivi
Ukiangalia kwa makini, wengi wanaom-support Nyalandu au Msigwa hapa mtandaoni, ni pro-CCM. Lengo lao kubwa ni kuwa mgombea wa CCM asipate upinzani mkubwa kwenye uchaguzi.Mbona mnamwogopa Lisu hivyo....Lisu ndo atakaepita, Nyalandu hana ushawishi maana kuna baadhi ya sehemu ndani ya nchi hii hajulikani. Lakini Lisu anajulikana hadi kwa Mungu, kwanza ni m beba maono, Mungu hakumwokoa na risasi 16 burebure, kuna kitu Mungu aliona hivyo hata binadamu wasipotaka Mungu atampitisha. Risas 16 zikuppate si mchezo, we hata ikuchune moja tu tunakubadilisha jina sasa hivi
CIA mwulize Dr SlaaNyalandu ana mahusiano mazuri na nchi za ulaya na amerika tena yey binafsi.
Sijawahi kujua aliyatengeneza vip
Comment reserved and pinned!!!CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao
Hahahaha...ila nyie watu Mungu anawaona.Tafuta CV yake,amesoma USA na kazi ameanzia USA . Mke wake pia ni moja ya wanawake wenye akili zaidi nchini Tanzania.Huenda akatufaa wa Tz