Ni wazo tu jamani..... msinijie juu!

na ukidatishwa mara moja kwa miezi 2 nayo utaita kudatisha?

HApana dada nazungumziwa kudatishwa mara zote. Maana kuna wengine wanajisifia kuwa wanawezadatisgha hadi mtu akabadili lugha maji akaita mma sasa ndo nawaza hapa kuwa kama nina mtu anayenidatisha kihiiivyo (pamoja na malavidavi mengine) siwezitoka nje but nikitoka basi naye ahesabiwe kuwa kashindwa kunitunza it has to be his fault pia si kila siku kina dada tu!!
 
Hahaha! Habari za asubuhi mama. Naona leo umechelewa kidogo. Foleni mbaya sana.


c bora foleni, jana nilibembelezwa mtoko/vijizawadi eti kisa mtu ana raha zake chelsea wame win, mie niko loo watacheza lini tena hawa watu mana raha zilihamishiwa kwangu, niambie wanacheza lini nijiandae kumbomu....lol
 

Hivi MJ1 unafikiri kudatishwa pekee kwenye hayo malavidavi inatosha kumfanya mtu atulie?hebu angalia upande wa pili,kweli mume anakudatisha lakni ni kwembe hafai(shoga zako kashawatembelea na juzi umemkuta kitandani kwa hausgeli yupo naye).Au anakupiga ile mbaya(unaweza usiende kazini siku kadhaa unauguza vidonda.au tuseme yeye ni cha pombe wa kufa mtu(akirudi tilalila hadi inabidi uanike magodoro).hebu niambie mamii! hata kama anakudatisha kiaje,utavumilia kweli usiende kujiriwaza nje?au pengine sijakuelewa?
 


Mkuu ndo maana nikatumia neno relatively, kwa sababu hata hiyo sh. 500 ni pesa. Ceteris peribus, huwezi kwenda kumuhonga binti sh. 500 kama wewe njaa inakuuma balaa, huna sehemu ya kula wala kivazi cha kukusitiri.

Eti Mwanajamii1 unaweza kuimba nyimbo (kutongoza) ukiwa na njaa ya kufa mtu??

Though nakubali kuna exception katika kila jambo!!
 
sasa nyamayao ilifikaje mpaka ukawa unadatishwa mara moja kwa miezi miwili?
au `juhudi` zako ziligonga mwamba? 😀

hapo nimetolea mfano hai wa mtu wangu wa karibu, mie hiyo aisee itakuwa ngumu...awajibike tena ipasavyo.
 

ZD Maneno yako jamani lol
 
Hehehe! Leo mama umeamua! Haya kumbe unataka kudatishwa kutwa mara tatu kama dozi ya panadol au vipi?


hee hayo yako, mie nahitaji huduma yangu pale ninapojickia kuhudumiwa kama yeye ninavyompatia tukiachia mbali ugonjwa, upo hapo?....kutwa mara 3 inatuletea chakula mezani hiyo?
 
shemeji hapa taratibu kidogo.naomba uiediti hii kitu,maanake uko tuu jenero
 
nyie wanaume nyie dawa yenu inachemka.....

Hahahahaha luv acha mwanaume aitwe mwanaume na mwanamke nae aitwe hivyo sitegemei mwanamke awe na nguvu kama mwanaume lakini huu ubeijing wenu huu unatugharimu sana.
 
c bora foleni, jana nilibembelezwa mtoko/vijizawadi eti kisa mtu ana raha zake chelsea wame win, mie niko loo watacheza lini tena hawa watu mana raha zilihamishiwa kwangu, niambie wanacheza lini nijiandae kumbomu....lol

Hahaha! Kilichokukumba wewe ni inversely proportional kwa kilichomtokea sista kwa bwashee Geoff. Jana dada alipata habari yake. Bwashee akifungwa bana! lol!
 
hee hayo yako, mie nahitaji huduma yangu pale ninapojickia kuhudumiwa kama yeye ninavyompatia tukiachia mbali ugonjwa, upo hapo?....kutwa mara 3 inatuletea chakula mezani hiyo?


Angalizo,

Tafadhali naomba unieleweshe kwenye hili, sielewi vizuri mbona kama kuna point muhimu sana inataka kuzungumzwa hapa?
 


ndio mana mie nasemaga cwezi umiza kichwa kufikiria leo nimfanyie nini ili actoke cjui nini na nini, hata yeye anaweza kuonesha ushirikiano pia, mie sio malaika niote nikimfanyia hiki hatatoka, na kwanini mtoke lakini humo ndani mmeshiandwa kueleweshana na mwenzio jamani, bado hujapata ucngizi kwa kufikiria ufanyaje actoke na unamfanyia kila lililo jema bado anatoka tena kwa kukuumiza vibaya kabisa, nilitoa mfano cku moja humu frnd wangu anamkuta mr wake na h/gal amempeleka kufanya abortion, na huyu mkaka anafanyiwa kila kitu i mean kila kitu na mkewe lakini alimtenda....waiiii.
 
Hahaha! Kilichokukumba wewe ni inversely proportional kwa kilichomtokea sista kwa bwashee Geoff. Jana dada alipata habari yake. Bwashee akifungwa bana! lol!
yani mkuu shemeji we acha tu!hadi mida hii tunaongea bado taska haijaisha kwa brain yangu.

nilizikamata nyingi ili nisahau lakini wapi!hapa ofisini nina redbull na maji kwa wingi
 

Point noted, well taken and filed for further explanations and clarifications before further disciplinary actions....
 

Mpenzi ndio maana nikaweka na hiyo ya malavidavi mengine! Kitanda pekee hakitoshi kumtuliza njiwa tunduni mpenzi wangu! The bottom message ya hii thread ni kuwa wote wanawake kwa wanaume tunawajibishwa kuyalinda mahusiano yetu isichukuliwe kuwa mwanaume akitoka nje basi ni mwanamke anayelaumiwa kwa kutunza kumdhibiti na mwanamke akitoka ni malay au mwenye tamaa. Ewe baba ukisikia au kugundua mkeo amechepuka na kiserengeti au jibaba basi anza kwanza kujichungua wewe mwenyewe mapungufu yako kabla ya kukimbilia kumtwanga talaka na matusi juu!! Loh sihalalishi wanawake watoke nje
 

mwanamke kahaba huwezi mridhisha,,,hata ufanye nini.
 
Dah, wapwana mabinamu zangu!

hapa niseme tu inahitaji mtu mwenye commitment ya kweli pamoja na msaada wa M'zi Mungu kuepuka vishawishi na kuvishinda. Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…