Ni wazo tu jamani..... msinijie juu!


MJ1

Mimi nadhani kwenda nje kwa mwanamke au mwanaume nifailure ya both parties, period!!!

hata turemmber vipi, kuna mchango wa kila mmoja katika hilo tatizo
 

...hapana, kutoka nje kuna sababu nyingi tu hiyo ya kutoridhishwa. kutofikishwa ni mojawapo tu.

Kuna wengine hutoka kwa sababu ya 'ulafi tu', yaani hata 'ashibishwe' vipi yeye anataka zaidi na zaidi, ...humu unawakuta sana wanaotembea na ma house girls, viserengeti Boys, nyumba ndogo nk

Kuna wengine hutoka nje ajipatie kitu fulani, kama ni msaada wa kifedha, security kazini, 'ego' kwamba naye asifiwe katembea na fulani... nk hili hufanyika sana kwa wanafunzi, wafanyakazi 'mapepe', ama wenye IQ ndogo kama hao...

Kuna wengine hutoka nje kwa kujiliwaza, ama kulipiza kisasi, kama kumkomoa fulani, nk...ambamo kwenye kundi hili sana 'mashoga' huwafanyia wanawake wenzao...ama wale ambao wamegundua wenza wao wame cheat, na kwamba njia pekee wanayoona inaweza kuponya kidonda ni naye 'kufanya kweli!'

MJ'1 nikirudi kwenye hoja yako, kuna wanawake kwa wanaume wengi tu ambao 'wapo fiti kwenye uwanja wa nyumbani na viwanja vya ugenini pia'...watu hao 'wakifumaniwa', husingizia eti hawatosheki nyumbani wakati kumbe ni ulafi wao tu!
 


MJ'1 nikirudi kwenye hoja yako, kuna wanawake kwa wanaume wengi tu ambao 'wapo fiti kwenye uwanja wa nyumbani na viwanja vya ugenini pia'...watu hao 'wakifumaniwa', husingizia eti hawatosheki nyumbani wakati kumbe ni ulafi wao tu!

kale ni kaugonjwa aisee, utawakuta hata barabarani wako na partners wao lakini mimacho dungu na shingo feni kutwa kuangalia vya watu😛
 
wengi wao wanafanya mambo kama hayo kwa tamaa za kimwili tu na si mapenzi au kuridhishana
just maamuzi tu
 
Ndio Brooklyn na Mr Mbu

nimewakubali tatizo kuuuubwa sana na vyanzo vikuuu vyake kwa kuanzia tu na mtaendelea kuongezea:

1: Tamaaaa ya kimwili
2: Ugumu wa Maisha
3: Kuomba kazi au kuumpa kazi
4: Jeuri ya kuwa na pesa nyingi
5:..........
6:...........
7:..............
 
wengi wao wanafanya mambo kama hayo kwa tamaa za kimwili tu na si mapenzi au kuridhishana
just maamuzi tu
Cudita aksante sasa kama huwa ni maamuzi why mwanaume akitoka nje watu wanamsema mwanamke wake kuwa ameshindwa kumdhibiti? Ila akitoka mwanamke anaambiwa malay.
 
Tabia ya mtu ni tabia yake tuu, na kamwe hawezi kuiga ya mtu mwingine, .... maana yake ni kuwa, kama ulizoea kutafuta mapenzi ya ziada hata ukiwa na anayekuridhisha kwa kiasi choote alichojaaliwa na mungu ni lazima utatafuta mengine, hii ni kama sumu ikiwa kwako ni lazima itoe matokeo yake. Kwahiyo swala la kutokuridhishwa sio kweli, ni tabia ya mtu aliyonayo tokea siku ya kwanza anaaanza kujua mamboz ni nini!....
 

Hapana. Wengine pia ni suala la kupenda variety. Hii inawahusu wote, wanawake na wanaume. Chungwa na embe yote matamu. Si sawa na upenzi wa timu za futiboli kuwa mshabiki wa Man U hawezi kushabikia Arsenal!

Mwanamume ana mwanamke mwembamba ndani, anamdatisha vilivyo, lakini anapenda pia utamu wa yule mwenye 'tukunyema'! Mwanamke ana mwanaume flani anayemdatisha haswa, lakini anajua kuwa wanaume wengine pia wana utundu tofauti kwenye majamboz licha ya maumbile kutofautiana, na hivyo anataka kupata ladha tofauti.

Tuzungumzie kuridhika, sio kutosheka
 
Niliwahi kusoma sehemu Mwanamke jimama kapewa mambo na kidume (kiwete) guest mpaka akatoka nduki duh sasa ukipata mume wa hivyo si utaona wengine hamna kitu!
 
Hamna cha kudhibitiana swala ni kuridhiana na kuona nafsi yako ni sawa na ya mwenzako
 
Thanks dear, nikweli tunachotaka ni tupewe haki yetu sio kuonewa tuu kila siku na kumbe mwenye shida ni yeye. Kha, wa baba amkeni, mmelala sana enzi hizi.
 
hilo nalo neno! m/ume au m/mke kutoka nnje ya ndoa ni 'hulka' chafu tu! hakuna lolote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…