Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nimeona member mmoja ambaye yeye siku zote amekuwa akikosa hoja na kuamua kuwashambulia kada ya ualimu. Inawezekana kukawa na changamoto kwa walimu au kada. Lakini haiwezekani mtu mwenye akili timamu yeye akaamua kuwa anatukana tu walimu wakati wote.
Na bahati mbaya amekuwa akipata support kwa wenzie wenye mtindio wa ubongo kama yeye. Nimewaza tu keshokutwa huyu akihamia kwetu mainjiania... Akawa tu na chuki na sisi akaamua kuwa anatutukana. Je tutasemaje?
Kweli ni mtu mwenye afya ya akili huyu member? Kuwaita walimu manguruwe, mbwa n.k? Je si kuwa ana msongo wa mawazo au matatizo ya kiakili sasa ameamua kuhamishia kwa walimu?
Hujawahi kutana na vichaa wakiona mwanamke wanamkimbiza au kumtemea mate? Kuna shida siyo kidogo. Tukosoe kwa lugha ya staha na heshima kwa wenzetu.
Siku moja nikistaafu nitawafundisha watu mambo mbalimbali kwa kada yangu ya uinjinia. Hivyo kwa muda huo nitakuwa mwalimu pia. Kwa sasa tunaendelea kufungua nchi. Nipo Egypt.