natafuta rafiki wa kike(for long term friendship) mweye sifa hizi;awe mkristo(thehebu lolote) elim kuanzia fom four, awe mrefu, mweusi au maji ya kunde,mwenye malengo ya maendeleo,katu asiwe cha ngono,mpenda amani na asipende bifu na watu,asiwe mkimya sana, mshauri na aliyetayari kushughulika na mambo ya watu wengine.mwaminifu na msikivu.aliye tayari ani pm, nitajibu zote