Ni wiki ya tatu nina mafua nimeamua kuanza na piriton kuna njia nyingne wakuu?

Ni wiki ya tatu nina mafua nimeamua kuanza na piriton kuna njia nyingne wakuu?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Niliambiwa mafua hayana dawa nimejaribu vumilia ila sasa ni wiki ya tatu nimeamua kumeza piriton doz ya 1mara2 kuna njia nyingine naweza fanya kwa sasa hali ya hewa pia ni barid nayo nadhani inachochea ila mbona mimi tu. Msaada plz
 
chemsha kitunguu swaumu baada ya kukitwanga then kunywa chai yake au vuta ule mvuke wake,faster mafua yanakata....speaking on uzoefu
 
Niliambiwa mafua hayana dawa nimejaribu vumilia ila sasa ni wiki ya tatu nimeamua kumeza piriton doz ya 1mara2 kuna njia nyingine naweza fanya kwa sasa hali ya hewa pia ni barid nayo nadhani inachochea ila mbona mimi tu. Msaada plz

Nenda pharmacy kakamate kitu inaitwa Cetrizine! Ndani ya dk 30 kwisha kazi!!!
 
tumia coldar ipo maduka yote ya dawa, piga vidonge viwili badala kimoja, mafua utayasikia kwa wengine!
 
garlic_bulb.jpg

Mafua ni katika maradhi mabaya kwakweli kwani sehemu yenyewe ya pua ina mishikano na sehemu zote za uso, kwahivo husababisha maradhi zaidi ya mafua mfano husababishwa kuumwa na kichwa mara kwa mara, masikio hata na meno pia. Mafua hutokana na sababu nyingi tofauti nazo ni kama vumbi joto, na vitu vibaridi ambavyo hivi ndio huwa chanzo kwa mafua. Inshallah nitajaribu kuandika dawa moja lakini inafanya kazi kwa mara moja na ni dawa nzuri kabisa.

KITUNGUU SOMU:

Kitunguu Somu ni kinga ya maradhi mengi mno, na pia ni dawa ambayo ndani yake kuna vitu vinavyojulikana kwa "ALLICINE" NA "GARLICINE" ambavyo vina nguvu kubwa ya kupigana na wadudu.

Meza tembe (chembe) moja ya thaum kila baada ya chakula na pia unywe juice ya kitunguu Somu iliyochanganywa na maji ya ndimu na pia unaweza kujifukiza mvuke wa kitunguu somu.

Inshallah natumai dawa hii itakusaidia ila nakuomba kitu kimoja uwache kula vitu vibaridi sana na vitu vikali sana. Hata hivo nitachangia kidogo juu ya madhara ya Kitunggsomu, kitu chochote ambacho utatumia zaidi au utatumia bila mpango maalum basi lazima huleta madhara kwahivo kila kitu kitumiwe kwa kiwango fulani ili kujiepusha na madhara ya hicho kitu chenyewe.@G spanner.@Baba V
 
Dawa ya Maradhi ya Mafua kiboko hii hapa chini mwenye kutaka Awasiliane na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa (fewgoodman@hotmail.com)

TylolHot.jpg
 
saga kitunguu swaumu vizuri, safisha unyanyo wako kisha paka hiyo swaumu uliyosaga.mi najitbu hvyo
 
Centrizen ndo dawa pekee na ninzur itakayokutibu na utanambia tumia
 
Back
Top Bottom