DadiMkaliWao
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 242
- 380
Kama kichwa kinavyosema, nimeukumbuka huo mstari ila nimesahau ulikuwa kwenye wimbo gani na wa msanii gani. Ni wimbo wa bongo fleva wa enzi zile za golden age of Bongo Fleva kabla ya zama za Diamond.
Anayekumbuka naomba anitajie.
Anayekumbuka naomba anitajie.