Ni wimbo gani unahisi unaweza kutumia kuelezea Maisha yako?

Ni wimbo gani unahisi unaweza kutumia kuelezea Maisha yako?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
NARINGA- ZUCHU

Mh-mmh
Nani Roney?
Ah, Roney (he-hey, yoh Tron)
Sing, mmh, eeh
Let sing, come on, eeh
Sioni aibu
Kwa kila linalo nifika
Maana kukosea ni wajibu
Mola ameshaandika
Na sianguki, mimi nimechaguliwa
Nnae mtegemea hachoki
Hajawahi kupitiwa
Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri, nakua gado kamili
Ukitaka kunidhuru mie, upite kwake kwanza
Mungu wangu halali, ana ulinzi mkali
Na ndio mana naringa, naringa
Naringa, naringa
Naringa, nalindwa na mungu
Msinione navimba, navimba
Navimba, navimba
Navimba, nalindwa na mungu
Raise your glass
Cheers to the Lord
Roho mbaya, ubinafsi hajaumbiwa nyungu-nyungu
Wala mtu mwenye maarifa
Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu
Mtayasema nikifa ah, eh
Unaniona napambana, kwa tabu na dhoruba
Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng'o
Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa
Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa roho, eh
Na sianguki mimi nimechaguliwa, aah
Nnae mtegemea hachoki
Hajawahi kupitiwa, hey
Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri, nakua gado kamili
Ukitaka kunidhuru mie, upite kwake kwanza
Mungu wangu halali, ana ulinzi mkali
Na ndio mana naringa, naringa
Naringa, naringa
(Mimi) naringa, nalindwa na mungu
Msinione navimba, navimba (ooh)
Navimba, navimba
Navimba, nalindwa na mungu
 
Ule wimbo wa watengwa  wanaimba

Ukiskiaa Paa ujue imekukosa🎶
alielenga hana shabaha 🎶
amefanya makosa🎶

Damu ilitapakaa baada ya ule mlio kulia PAAA,🎶
Watu wote walisambaa hata walevi wa kwenye bar,🎶
Sio polisi sio baunsa iliye kaa🎶

utashanga kwa nini mshkaji alizidi kumimina kwa kujiamini,🎶
Amini usiamini akabaki tu na mimi,🎶
Akanishikia bunduki kwa chini,🎶
Akadai eti nimpe madini lasivyo ananipiga risasi kama sabini,🎶

Anasura kama idi amini akarudi karibu atua tatu mpaka kabatini,🎶
Akatamka HEYOO! nipo kazini nimetumwa mzigo au ujithamini,🎶
Akanikanyaga kwa chini kikorofi bunduki tena akaikoki🎶
Akasema kama simuonyeshi leo sitoki,🎶
jinsi alivyo akilenga ye hakosi,🎶
Kavaa koti jeusi jasusi,
Mikono kaweka juu kuepuka nuksi🎶
huku anatukana mengi matusi...🎶
 
H

ii
NARINGA- ZUCHU

Mh-mmh
Nani Roney?
Ah, Roney (he-hey, yoh Tron)
Sing, mmh, eeh
Let sing, come on, eeh
Sioni aibu
Kwa kila linalo nifika
Maana kukosea ni wajibu
Mola ameshaandika
Na sianguki, mimi nimechaguliwa
Nnae mtegemea hachoki
Hajawahi kupitiwa
Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri, nakua gado kamili
Ukitaka kunidhuru mie, upite kwake kwanza
Mungu wangu halali, ana ulinzi mkali
Na ndio mana naringa, naringa
Naringa, naringa
Naringa, nalindwa na mungu
Msinione navimba, navimba
Navimba, navimba
Navimba, nalindwa na mungu
Raise your glass
Cheers to the Lord
Roho mbaya, ubinafsi hajaumbiwa nyungu-nyungu
Wala mtu mwenye maarifa
Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu
Mtayasema nikifa ah, eh
Unaniona napambana, kwa tabu na dhoruba
Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng'o
Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa
Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa roho, eh
Na sianguki mimi nimechaguliwa, aah
Nnae mtegemea hachoki
Hajawahi kupitiwa, hey
Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri, nakua gado kamili
Ukitaka kunidhuru mie, upite kwake kwanza
Mungu wangu halali, ana ulinzi mkali
Na ndio mana naringa, naringa
Naringa, naringa
(Mimi) naringa, nalindwa na mungu
Msinione navimba, navimba (ooh)
Navimba, navimba
Navimba, nalindwa na mungu
Hii imetisa sana..🫡
 
Back
Top Bottom