Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una audio tupiaKendrick Lamar not like us
Hiyo emoj uliyiambatanisha nimeielewa mkuu😀😀
Mh! Mkuu huu ndo utakuwa unapigwa disco kweli na sehemu za starehe 🙄
25 labda kama Yanga ikiwa imecheza imeshinda ndo utapigwa mkuuYanga hii unaifungajee😅😅😂😂😂
Samia disco inakuja kaeni mkao wa kulaMh! Mkuu huu ndo utakuwa unapigwa disco kweli na sehemu za starehe 🙄
Tupia audio watu wasikilize mkuuOlolufe Mi.... daaaaaah
❤️❤️❤️❤️❤️❤️😘
Wataelewa tuTupia audio watu wasikilize mkuu
Ninapenda sana jinsi nyimbo inavyoanza yaani ile beat. S2kiiz katishaa..Ololufe Mi.... daaaaaah
❤️❤️❤️❤️❤️❤️😘