Ni wivu au kushindwa kujiamini?

aaaaa nooooo mi nimemuelewesha tuu kwa kutumia jina lake anifaham ni vipi wivu ukizidi... khaa kaka mbona wataka nichongea wewe mi sichukui mali za watu kama kina michelle..
hauoni hapo kuwa tayari umeishaanza kuwa na wivu kwa katavi
 
Ha ha ha habari ya asubuhi mama mzima wewe sijui kwanini nakumiss vile

Hehehe!Mbona sasa ukaniacha solemba kule kwenye biashara?Mi mzima wa afya...nijulishe hali yako na wewe baba!
 
Wivu katika mapenzi ni muhimu ila unapotumika mahali ambapo sipo ndio huonekana kuwa ni kero,siku hizi naona wivu umebaki kwa wanaotaka kuoana au ambao bado wapo katika mchakato wa kutakana ila kwa wanandoa suala hili limeanza kupungua maana kila mtu siku hizi ana lake pembeni hivyo hujikuta hana uchungu ausikiao kwa mkewe/mumewe kama anahisi anachepuka
 
wivu=kero.

asante Rose....wengine sie imegeuka kero kwa kweli, mie nilikuwa najijuaga nina wivu nimekuja gundua wa kwangu cha mtoto sana, mwanzoni nilidhani mambo yatarekebika tu lakini sasa nimeshaizoea hali japo ni kero kero....wivu sana unageuka kero kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…