Ni wivu au kushindwa kujiamini?

Wivu ni aina fulani inayoonyesha Care kwa mpenzi wako lakini ikizidi ndiyo inakuwa na madhara Jaribu kutoonyehs hali ya wivu kwa mkeo uone naamini ipo siku atakuambia kuwa hunipendi kabisa.
 
bacha we una wivu?
 
mapenzi bila wivu yana walakini lazima utaona mwenzio hakupendi sema usizidi mipaka
 
aaaaa nooooo mi nimemuelewesha tuu kwa kutumia jina lake anifaham ni vipi wivu ukizidi... khaa kaka mbona wataka nichongea wewe mi sichukui mali za watu kama kina michelle..

Unalo bibi linalokukaba na roho,basi ungemuandika jina usoni kuwa huyu wangu???

Si riziki yako yule,kanipenda nimempokea kwa mikono miwili,na nimetulia nae

Bibi mi sichukui wa watu,nawaweka ndani kwangu ati,na najua hasa kuwaweka.......

We endelea na maisha yako,acha bifu mi huniwezi ati hujalisoma hilo?

ulisema wa nini mi mwenzio nilikuwa nasali nikipate kama kile....sasa ndo imekuwa......
 
naona kweli umechukuwa lakini used huyo bibi nshamchakaza we malizia makombo..hapo hukupata umepatikana.
 
Bacha habari yako binafsi wangu??

Wivu muhimu sana kwenye mapenzi sema uwe na kiasi na usimyime yule anayeonewa wivu haki zake za msingi za kufurahia maisha......
 
naona umechukuwa lakini used huyo bibi nshamchakaza we malizia makombo...

Nimeridhika nae huyu huyu makombo wako.......

Allah si athuman,utampata brand new mama,mi yangu macho,masikio na pua ya kunusa....

Basi tusifuatane tena, niache ndo kwanza naona nuru,alikuwa wapi huyu Hashy??:A S-heart-2:
 
wivu ni muhimu sana.....!wivu huamsha hisia za mapenzi kwa yule umpendae...LAKINI SASA usiwe wivu wa kupitiliza
wa kupitiliza ndio upi?
usiposikia wivu kwa mwenzio ujue penzi kwishney!
 
occasional jealous in "close relationship" is natural and help 2 keep a relationship alive.
 
Wivu ni muhimu jamani ktk malavidavi, kama mtu kweli unampenda na sio kumtamanintu kwanini usiwe na wivu naye?
 
Wivu ni muhimu jamani ktk malavidavi, kama mtu kweli unampenda na sio kumtamanintu kwanini usiwe na wivu naye?

hapo sio kwamba hujiamini Sinai?
 
Bacha habari yako binafsi wangu??

Wivu muhimu sana kwenye mapenzi sema uwe na kiasi na usimyime yule anayeonewa wivu haki zake za msingi za kufurahia maisha......

Mi sijambo Michelle,
Hivi wewe unamwonea wivu hashycool au,
ni kwasababu hujiamini tu?
 
wa kupitiliza ndio upi?
usiposikia wivu kwa mwenzio ujue penzi kwishney!


lakini Tausi,
ndo huu wivu ambao tumeambiwa kuwa umeshaleta madhara mengi,
mpaka kufikia kuuana, kujinyonga, kunywa sumu sasa iweje uwe na umuhimu?
 
naona kweli umechukuwa lakini used huyo bibi nshamchakaza we malizia makombo..hapo hukupata umepatikana.

sasa sijui hii inadhihirisha ni wivu au kutokujiamini tu,
Nilham hebu nijuze hapa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…