Ni yapi majukumu ya mkurugenzi wa ufundi?

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Rejea mada tajwa hapo juu.

Mkurugenzi wa ufundi anakazi gani (majukumu) kwenye timu.

Kama sijasahau amewahi kupita KIM POULSEN, AMMY NINJE & OSCAR MIRAMBO pale TFF. Binafsi sijawahi kuona nini wanakifanya (la lwa kutofahamu majukumu yao)

Baada ya kuzuka tetesi za Mwinyi Zahera kutakiwa na SIMBA SC kuwa Mkurugenzi wa ufundi ndani ya klabu ya Simba, je majukumu (kazi) yake itakua ipi?

Kwa mifumo ya klabu zetu atatimiza majukumu yake kiufasaha.

Asante, naomba kuwasilisha
 
Sizani kama atatimiza kutokana na mifumo ya clabu zetu
 
Sasa kama hujui majukumu yao inakuaje unasema hujawahi kuona walichofanya kina Oscar Milambo
 
Kwasababu hakuna tofauti na klabu ambazo hazina Mkurugenzi wa ufundi labda kuna kazi za ndani ambazo sizifahamu ndiyo nikauliza
 
Mkurugenzi wa ufundi ndiye mkuu wa benchi la ufundi. Ni boss wa makocha wote kuanzia timu za vijana hadi timu kubwa. Ndiye anatayarisha program zote za timu husika kuanzia za watoto hadi za wakubwa.
Kwa TFF mbali ya kutayarisha program za timu za watoto na wakubwa anaratibu kozi nq mafunzo kwa makocha na pia ndiye anatengeneza dira la soka la nchi litakavyokuwa. Anahusika nq kuchagua wachezaji wa taifa kwa kushirikiana na kocha mkuu na kuandaa mechi za kirafiki.
 
Kwahiyo Zahera ni bonge la Kocha kuliko Didier?
 
Mkurugenzi wa ufundi ndiye mkuu wa benchi la ufundi. Ni boss wa makocha wote kuanzia timu za vijana hadi timu kubwa. Ndiye anatayarisha program zote za timu husika kuanzia za watoto hadi za wakubwa.
Kwa TFF mbali ya kutayarisha program za timu za watoto na wakubwa anaratibu kozi nq mafunzo kwa makocha na pia ndiye anatengeneza dira la soka la nchi litakavyokuwa. Anahusika nq kuchagua wachezaji wa taifa kwa kushirikiana na kocha mkuu na kuandaa mechi za kirafiki.
Nashukuru sana, kwa upande wa klabu anaweza kuhusika kwenye usajili?
 
Anahusika kwa kiasi kikubwa baada ya kupokea ripoti za makocha wa chini yake yeye kwa kushauriana nao ataamua wachezaji gani waachwe, watolewe kwa mkopo au wasajiliwe pia ni wachezaji gani toka timu ya vijana wapelekwe timu ya wakubwa.
 
Mkurugenzi wa ufundi ndiye mkuu wa benchi la ufundi. Ni boss wa makocha wote kuanzia timu za vijana hadi timu kubwa. Ndiye anatayarisha program zote za timu husika kuanzia za watoto hadi za wakubwa.
Kwa TFF mbali ya kutayarisha program za timu za watoto na wakubwa anaratibu kozi nq mafunzo kwa makocha na pia ndiye anatengeneza dira la soka la nchi litakavyokuwa. Anahusika nq kuchagua wachezaji wa taifa kwa kushirikiana na kocha mkuu na kuandaa mechi za kirafiki.
Hapo kwa kuhusika na wachezaji wa senior team hapana. Involvement yake mwisho u23...kwa sababu kama ulivyosema huyo object yake ni kuendeleza mpira for the next 5 to ten years nchini.
 
Mkurugenzi wa ufundi ndio boss wa makocha wote kwa hiyo timu zote zinamhusu
 
vigezo gani vinatumika kumpata mtu anaestahili kua mkurugenzi wa ufundi wa shirikirikisho la soka au club

Back
Top Bottom