Sizani kama atatimiza kutokana na mifumo ya clabu zetuRejea mada tajwa hapo juu.
Mkurugenzi wa ufundi anakazi gani (majukumu) kwenye timu.
Kama sijasahau amewahi kupita KIM POULSEN, AMMY NINJE & OSCAR MIRAMBO pale TFF. Binafsi sijawahi kuona nini wanakifanya (la lwa kutofahamu majukumu yao)
Baada ya kuzuka tetesi za Mwinyi Zahera kutakiwa na SIMBA SC kuwa Mkurugenzi wa ufundi ndani ya klabu ya Simba, je majukumu (kazi) yake itakua ipi?
Kwa mifumo ya klabu zetu atatimiza majukumu yake kiufasaha.
Asante, naomba kuwasilisha
Kwahiyo Zahera ni bonge la Kocha kuliko Didier?Mkurugenzi wa ufundi ndiye mkuu wa benchi la ufundi. Ni boss wa makocha wote kuanzia timu za vijana hadi timu kubwa. Ndiye anatayarisha program zote za timu husika kuanzia za watoto hadi za wakubwa.
Kwa TFF mbali ya kutayarisha program za timu za watoto na wakubwa anaratibu kozi nq mafunzo kwa makocha na pia ndiye anatengeneza dira la soka la nchi litakavyokuwa. Anahusika nq kuchagua wachezaji wa taifa kwa kushirikiana na kocha mkuu na kuandaa mechi za kirafiki.
Izo n kaz mbili tofaut n majukumu tofautKwahiyo Zahera ni bonge la Kocha kuliko Didier?
Hapa tunazungumzia majukumu ya mkurugenzi wa ufundi wala sio majina ya watuKwahiyo Zahera ni bonge la Kocha kuliko Didier?
Nashukuru sana, kwa upande wa klabu anaweza kuhusika kwenye usajili?Mkurugenzi wa ufundi ndiye mkuu wa benchi la ufundi. Ni boss wa makocha wote kuanzia timu za vijana hadi timu kubwa. Ndiye anatayarisha program zote za timu husika kuanzia za watoto hadi za wakubwa.
Kwa TFF mbali ya kutayarisha program za timu za watoto na wakubwa anaratibu kozi nq mafunzo kwa makocha na pia ndiye anatengeneza dira la soka la nchi litakavyokuwa. Anahusika nq kuchagua wachezaji wa taifa kwa kushirikiana na kocha mkuu na kuandaa mechi za kirafiki.
Anahusika kwa kiasi kikubwa baada ya kupokea ripoti za makocha wa chini yake yeye kwa kushauriana nao ataamua wachezaji gani waachwe, watolewe kwa mkopo au wasajiliwe pia ni wachezaji gani toka timu ya vijana wapelekwe timu ya wakubwa.Nashukuru sana, kwa upande wa klabu anaweza kuhusika kwenye usajili?
Hapo kwa kuhusika na wachezaji wa senior team hapana. Involvement yake mwisho u23...kwa sababu kama ulivyosema huyo object yake ni kuendeleza mpira for the next 5 to ten years nchini.Mkurugenzi wa ufundi ndiye mkuu wa benchi la ufundi. Ni boss wa makocha wote kuanzia timu za vijana hadi timu kubwa. Ndiye anatayarisha program zote za timu husika kuanzia za watoto hadi za wakubwa.
Kwa TFF mbali ya kutayarisha program za timu za watoto na wakubwa anaratibu kozi nq mafunzo kwa makocha na pia ndiye anatengeneza dira la soka la nchi litakavyokuwa. Anahusika nq kuchagua wachezaji wa taifa kwa kushirikiana na kocha mkuu na kuandaa mechi za kirafiki.
Mkurugenzi wa ufundi ndio boss wa makocha wote kwa hiyo timu zote zinamhusuHapo kwa kuhusika na wachezaji wa senior team hapana. Involvement yake mwisho u23...kwa sababu kama ulivyosema huyo object yake ni kuendeleza mpira for the next 5 to ten years nchini.
Senior national is off boundsMkurugenzi wa ufundi ndio boss wa makocha wote kwa hiyo timu zote zinamhusu
Walikuwaga wanamtukana hawaKwahiyo Zahera atakuwa ni boss wa Didier
Anahusika kwa kiasi kikubwa baada ya kupokea ripoti za makocha wa chini yake yeye kwa kushauriana nao ataamua wachezaji gani waachwe, watolewe kwa mkopo au wasajiliwe pia ni wachezaji gani toka timu ya vijana wapelekwe timu ya wakubwa.
mara nyingi anatakiwa awe kocha wa daraja la juu ambaye pia ni mkufunzi anayetambulikaa na FIFAvigezo gani vinatumika kumpata mtu anaestahili kua mkurugenzi wa ufundi wa shirikirikisho la soka au club
asante sana mkuumara nyingi anatakiwa awe kocha wa daraja la juu ambaye pia ni mkufunzi anayetambulikaa na FIFA