Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 515
- 476
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, je ni vitu gani unapaswa kuvizingatia kwenye gari before hujakabidhiwa?? Gari uliyoagiza nje?
Kwenye injini? Mana wengine wanasema kuna kitu kinaitwa thermal usipokiondoa gari yako itachemsha tu hapa na Moro utoboi? Je ni kweli?
Na hata baada ya kukiondoa na kumaliza mambo yote ya kulisajili je vitu gani vya kubadili kabla ya kuanza kuingia rasmi barabarani ukiachilia mbali matairi na kumwaga oil.
Hebu tuanzie hapo kwa wenye uzoefu na tukumbuke gari zetu(1790Cc-1500Cc) purposely is for long safari..
Tukianzia kule kule unakokabidhiwa mpaka kwako mwenyewe.