Osie Shemkunde, usikubali kuondoa thermo start utajuta! Achana na mafundi wa mtaani. Kila kitu kipo purposely umenikumbusha tulichukua gari ikawa honi ni mbovu yaani inajipiga yenyewe Mwanzo mwisho, kufika kwa FUNDI akauliza, mnataka isiwasumbue? Basi Subiri daaaaah, akaja kui-disable kabisa.
Back to the topic,
Kagua oil kama ipo ya kukuwezesha kufika garage, pili lazima ufanye service na tena kuna Oil maalum ya kusafishia injini, itumie kwanza hio kisha Weka oil yake. Kumbuka Kuna baadhi ya engine zina oil maalum, Soma!!
Angalia accessories nyingine Kama wheel spanner, jack, handle, spare tyre etc. The rest utafanya mwenyewe mkuu