Ni yapi Matunda ya muda mfupi?

Ni yapi Matunda ya muda mfupi?

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Hi Wadau, aina gani yamatunda huchukua muda mfupi zaidi, sio kama maembe ambayo ni zaidi ya miaka mi3..

Thanks
 
Thanks Mkuu, hivi mazuri for business ni haya ya njano au yale mekundu

Passion ni nzuri na zina zaa sana especially but polution yake nadhani sio nzuri sana kama una matunda mengine like maembe ile pollution ya passion inaweza kuwa na madhara maembe yasizae. Mimi ziliharibu maembe yangu yakaacha kuzaa nilipokata maembe yakatoa matunda. Wajuzi watujuze
 
Panda ndizi,kuna ile mbegu kutoka south Afrika miezi 9 unavuna na mkungu 1 hawezi kuubeba peke yako mpaka muwe 2
 
Back
Top Bottom