NAMDORY
Member
- Feb 21, 2017
- 21
- 14
Ndugu zangu naomba elimu ya malengo ya mfuko wa TASAF, maana hapa kijijini kwetu Nanyamba Mkumbwanana, hii hela hupewa vijana na kuambiwa wafukue barabara. Je, ndio malengo ya TASAF?
Naomba elimu kidogo, na kama sioni maudhui ya mfuko huo, tunaomba tufanyeje ili zitumike kwa malengo kusudiwa.
Naomba elimu kidogo, na kama sioni maudhui ya mfuko huo, tunaomba tufanyeje ili zitumike kwa malengo kusudiwa.