sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwa hali hii acha mmakonde alilie tuzo za basata
you can lose a battle and then win a waryaani kipengele cha east Africa ambacho pia alikuwemo kashindwa ila cha Africa nzima kashinda...no logic
Hiki ndo kilitakiwa kua KISHINDO CHA AWAMU YA TANO.Tatizo hatusikii hata TBC1 ikitangaza hii kitu,hata wizara husika wamelala tu,hakuna taarifa zozote,
Mtu Kama huyu ilibidi atangazwe kwa nguvu zote,
Vip kwa kale kajamaa cha Half Men Half Amaizing..Omari Tambwe kashinda au kala za chembe?...maan naona kimya
Vip kwa kale kajamaa cha Half Men Half Amaizing..Omari Tambwe kashinda au kala za chembe?...maan naona kimya