Ni Yupi Sheikh Suleiman Takadir na ni Yupi Iddi Tulio?

Ni Yupi Sheikh Suleiman Takadir na ni Yupi Iddi Tulio?

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA IDDI TULIO

Nimeona kuna mkanganyiko wa nani ni nani kati ya wenyeviti hawa wawili wa Baraza la Wazee wa TANU.

Kushoto ni Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti Baraza la Wazee wa TANU 1954 - 1958.

Kulia ni Iddi Tulio Mwenyekiti Baraza la Wazee wa TANU 1958 - 1963.

Sheikh Suleiman Takadir alifukuzwa TANU mwaka wa 1958 kutokana na ugomvi uliozuka baina yake na Rais wa TANU Julius Nyerere.

Ugomvi huu ulisababishwa na TANU kupiga kura kukubali kushiriki uchaguzi wa Kura Tatu na ulihusu hali ya baadae ya Waislam katika Tanganyika huru.

Iddi Tulio akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, baraza lilivunjwa mwaka wa 1963 kwa shutuma za kuchanganya dini na siasa.
 

Attachments

  • Screenshot_20240619-073151_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240619-073151_WhatsApp.jpg
    49.5 KB · Views: 16
Back
Top Bottom