Nawe jitahidi kupunguza hizo msg za kuwatumia marafiki zako za mic you ilihali umeshajua mwenzi wako mtarajiwa hapendi, si uepuke tu shari? wivu ni sehemu ya mapenzi ila ukipitiliza ni kero sana, sasa jaribu kukaa naye mkiwa mmetulia umueleze asiwe na wivu wa kupitiliza kwani mtagombana bure, cha msingi muaminiane.
Ila tahadharri tu, mara nyingi mtu akijifanya kuwa na wivu saana hasa kama tangu mwanzo hakuwa hivyo, basi check out ni nini, huenda anayoyafanya yeye anahisi na wewe unafanya, so kama kujikosha fulani hivi