Sanaa ya siku hizi ni kuuza sura , wanaume wanajipodoa, wanawake wanajipodoa , hakuna tofauti kati yao. Waigizaji hawako realistic, Mtu anaigiza umaskini lakini kajipodoa na kichwani katengeneza nywele za sh.50,000! ridiculous! Mtu kanunua pamba yake ya kichina kkoo anaona pa kuionyeshea ni kwenye filamu. Sina uhakika watu wa make up kazi yao ni nini lakini nadhani ni kutengeneza muonekano wa muigizaji ili aweze kuuvaa uhusika ipasavyo. Waigizaji kama kina waridi, bishanga, monalisa hao ndio wasanii wa kweli. Akilalamika utafikiri kweli, akilia utafikiri kweli, lakini siku hizi kazi kuuza sura, magari ya kifahari, na majumba ya watu! Kuna wengine wanadiriki kusema" MIMI UKINICHEZESHA HOUSE GIRL SICHEZI"!!!!!!!😱 Hhahahahahaha! Puuu! Mi nilishaachaga kuangalia huu upuuzi.