mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa marekani!
Marekani imetengeneza mazingira ya hofu bandia ya kushambuliwa na Urusi!! Marekani imewalazimisha wazungu wa maghjaribi kuachana na gesi ya urusi yenye bei nafuu na kununua gesi ghali mara tatu toka marekani!
Ili kukidhi adhma hiyo marekani ilifanya njama ya kulipua bomba la gesi lililokuwa linapeleka gesi ujerumani ili kuilazimisha ujerumani kuachana na gesi ya urusi!! na wakafyata mkia! Kisa - mkileta fyoko hatutawasaidia urusi ikiwashambulia!