mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Toka wamarekani wakupige ban ya kukanyaga ardhi yao kwa tuhuma za "Kudhulumu uhai wa watu" umebadilika na kuwa adui mkubwa sana wa US.Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa marekani!
Marekani imetengeneza mazingira ya hofu bandia ya kushambuliwa na Urusi!! Marekani imewalazimisha wazungu wa maghjaribi kuachana na gesi ya urusi yenye bei nafuu na kununua gesi ghali mara tatu toka marekani!
Ili kukidhi adhma hiyo marekani ilifanya njama ya kulipua bomba la gesi lililokuwa linapeleka gesi ujerumani ili kuilazimisha ujerumani kuachana na gesi ya urusi!! na wakafyata mkia! Kisa - mkileta fyoko hatutawasaidia urusi ikiwashambulia!
Sijui kama unafahamu. Lakini marekani unawezakuta wanawadai bado pesa za WWW3 ambazo walikopa nyingi kwakutengenezewa silaha za kupambana na Hitler.Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa marekani!
Marekani imetengeneza mazingira ya hofu bandia ya kushambuliwa na Urusi!! Marekani imewalazimisha wazungu wa maghjaribi kuachana na gesi ya urusi yenye bei nafuu na kununua gesi ghali mara tatu toka marekani!
Ili kukidhi adhma hiyo marekani ilifanya njama ya kulipua bomba la gesi lililokuwa linapeleka gesi ujerumani ili kuilazimisha ujerumani kuachana na gesi ya urusi!! na wakafyata mkia! Kisa - mkileta fyoko hatutawasaidia urusi ikiwashambulia!
Bado bongolala soon,kwa jinsi tunavyofanya hatukqepi hilo.Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa marekani!
Marekani imetengeneza mazingira ya hofu bandia ya kushambuliwa na Urusi!! Marekani imewalazimisha wazungu wa maghjaribi kuachana na gesi ya urusi yenye bei nafuu na kununua gesi ghali mara tatu toka marekani!
Ili kukidhi adhma hiyo marekani ilifanya njama ya kulipua bomba la gesi lililokuwa linapeleka gesi ujerumani ili kuilazimisha ujerumani kuachana na gesi ya urusi!! na wakafyata mkia! Kisa - mkileta fyoko hatutawasaidia urusi ikiwashambulia!
Ufaransa amekua analalamikia hilo mara kwa mara; alilalamikia hilo wakati USA ya Bush Jr inakwenda kuivamia Iraq, kalalamikia hilo wakati wa vita vya Ukraine na Russia hasa wakati wa kuiwekea vikwanza Russia, maisha yalikua magumu sana Ulaya hasa kwenye issue ya gas na mafuta kupanda bei.Ni stor au ni mawazo yako….Huna ushahid wowote wa kutetea hoja zako.