MAKA Jr JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 267 Reaction score 209 Jul 26, 2022 #1 Nasema hivi kwa kuwa ni Wana-Yanga pekee, kwa kuwa yuko kwo, ndio wanaweza kufanya hivyo. LAKINI, HAJI MANARA HAYUKO SAHIHI. Endelea kumuonea huruma ya kishabiki.
Nasema hivi kwa kuwa ni Wana-Yanga pekee, kwa kuwa yuko kwo, ndio wanaweza kufanya hivyo. LAKINI, HAJI MANARA HAYUKO SAHIHI. Endelea kumuonea huruma ya kishabiki.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jul 26, 2022 #2 HAJI KWA KIPINDI HIKI ANGETULIA TU
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jul 26, 2022 #3 Joseverest said: HAJI KWA KIPINDI HIKI ANGETULIA TU Click to expand... Hataki kushauriwa kuna wajinga wamemuaminisha kuwa Baba Riz anaweza kufanya miujiza Rais Samia akaingilia kati.
Joseverest said: HAJI KWA KIPINDI HIKI ANGETULIA TU Click to expand... Hataki kushauriwa kuna wajinga wamemuaminisha kuwa Baba Riz anaweza kufanya miujiza Rais Samia akaingilia kati.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jul 26, 2022 #4 ok SAGAI GALGANO said: Hataki kushauriwa kuna wajinga wamemuaminisha kuwa Baba Riz anaweza kufanya miujiza Rais Samia akaingilia kati. Click to expand... okay
ok SAGAI GALGANO said: Hataki kushauriwa kuna wajinga wamemuaminisha kuwa Baba Riz anaweza kufanya miujiza Rais Samia akaingilia kati. Click to expand... okay