Ni zile za may 28??

Joined
Aug 29, 2012
Posts
14
Reaction score
0
hi, nimeona utumishi wameita, ila naomba kuuliza usaili huu ni wa tangazo la lini? au wa zile ajira 2000 za may 28?
 
hawa utumishi wanatuzingua coz hawaeleweki ni maombi ya lini hata mi wananchanganya
 
Jaribu kukumbuka mweziMay ni kama kulikua na gumzo la ukosefu wa ajra, so mi naona serikali ilikuja na njia ya kuzima maneno. Pina nakumbuka zilitangazwa sana katika vyombo vya habari kitu ambacho sio kawaida ya Utumishi.

Changa la macho lile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…