Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Ndug zanguni ni dalili zipi unaweza kuzijua kuwa mwenzi wako kuwa anacheat au anatoka nje ya mahusiano yenu?
au kuna ishara mahususi za kugundua kuwa mumeo/mkeo ancheat
- Je nikutokuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa na wewe uliye naye?
- Je ni kwa kuwa na tabia ya kutonunua na kutoa mahitaji muhimu nyumbani kwake?
- Je ni kwa yeye kuwa na tabia ya ugomvi usiokuwa na sababu kila kukicha?
- Je ni kwa na tabia ya kuchelewa kurudi kila siku au mara mbili kwa wiki?
- Je ni kwa kuwa na tabia ya kumsifia/mume/mke mwingine wakati wewe upo naye?
- Je kwa kuwa na tabia ya kusikiliza hoja nyingi kutoka kwa marafiki zako juu ya mienendo yako?
au kuna ishara mahususi za kugundua kuwa mumeo/mkeo ancheat