Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Ndug zanguni ni dalili zipi unaweza kuzijua kuwa mwenzi wako kuwa anacheat au anatoka nje ya mahusiano yenu?
- Je nikutokuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa na wewe uliye naye?
Je ni kwa kuwa na tabia ya kutonunua na kutoa mahitaji muhimu nyumbani kwake?
Je ni kwa yeye kuwa na tabia ya ugomvi usiokuwa na sababu kila kukicha?
Je ni kuwa na tabia ya kuchelewa kurudi kila siku au mara mbili kwa wiki?
Je ni kwa kuwa na tabia ya kumsifia/mume/mke mwingine wakati wewe upo naye?
Je kwa kuwa na tabia ya kusikiliza hoja nyingi kutoka kwa marafiki zako juu ya mienendo yako?
au kuna ishara mahususi za kugundua kuwa mumeo/mkeo ancheat
mtu anaweza asifanye hata moja kati ya uliyouliza na akawa anacheat.kuna watu siku hizi wana do mchana wakati wa lunch time..faster .....saa kumi na mbili yuko home anacheza na watoto na wewe unajiona mjanja kumbe....
Teh teh teh teh nimeipenda hiyo.
Wengine wanamega/kumegwa asubuhi ana enjoy weeeee akirudi home wewe unajua alikuwa kazini kumbe amekula kona alikuwa na buzi maeneo.
[/LIST]
Inategemea na idadi ya mara alizokugomea, mwingine anachoka tu na kazi nyingi za mchana si lazima kuwa anado nje.
Si lazima pengine pesa analewea au anasave kwa ajili ya future developments. Hili halina guarantee sana kuwa anacheat inawezekana pia hapati pesa ya kutosha au ana madeni nje kibao.
Frustrations pia zinawezakuchangia yeye kuwa na hasira na wewe kila mara na akajikuta kila ukifanyacho hakina uzuri so ugomvi
Hii nayo inawezakuwa inachangiwa na mengineyo kama ulevi na washkaji au kuwa workholic
Hapana Chaku wengine hulka yao, wao wakiona mwanamke hawaishii kusifia bali huweza hata kugeuka shingo but wakawa si macheater bali wanaapreciate uumbaji wa MKUU.
hapana hii pia inaweza kusababishwa na wivu tu na si kuwa anacheat
1. Nijuavyo mie kama anacheat utamgundua tu mabadiliko ya tabia ambazo mwanzo hakuwa nazo mf. namna anavyoiprotect simu yake na kwa mwanaume chatting za muda mrefu (huwa sielewi wanaume anayechat na sms muda mrefu huku akicheka mwenyewe huwa anaongelea nini na mwanaume mwenzie? lazima atakuwa anacheat tu!
2. Kuingia bafuni na simu hata akienda kujisaidia haja ndogo anaingia nayo
3. mienendo yake haieleweki anaweza akasema yuko ofcn wakati wewe unasikia muungurumo wa gari au mziki.
4. Receipts mbalimbali zinazoonyesha alikwenda mahali ambapo ukimwuliza anasema hajakwenda.
mtu anaweza asifanye hata moja kati ya uliyouliza na akawa anacheat.kuna watu siku hizi wana do mchana wakati wa lunch time..faster .....saa kumi na mbili yuko home anacheza na watoto na wewe unajiona mjanja kumbe....
Ndug zanguni ni dalili zipi unaweza kuzijua kuwa mwenzi wako kuwa anacheat au anatoka nje ya mahusiano yenu?
au kuna ishara mahususi za kugundua kuwa mumeo/mkeo ancheat
- Je nikutokuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa na wewe uliye naye?
- Je ni kwa kuwa na tabia ya kutonunua na kutoa mahitaji muhimu nyumbani kwake?
- Je ni kwa yeye kuwa na tabia ya ugomvi usiokuwa na sababu kila kukicha?
- Je ni kwa na tabia ya kuchelewa kurudi kila siku au mara mbili kwa wiki?
- Je ni kwa kuwa na tabia ya kumsifia/mume/mke mwingine wakati wewe upo naye?
- Je kwa kuwa na tabia ya kusikiliza hoja nyingi kutoka kwa marafiki zako juu ya mienendo yako?
yale yale ya ma colleague, anasemaga mr wake hachiti kabisa, mana anarudi home saa 11 juu ya alama, jmoc/jpili ni cku ya kupumzika home na familia
Unajua Nyamayao siku hizi kuna kamachezo gani?
Mtu anakuwa na line 2 kama ni voda basi anazo 2 kama tiGo basi anazo 2 kwa ajili ya kuwasiliana na viburudisho vya pembeni hii nimeikuta hata kwa wanawake wengi sana wanacheza mchezo huo huwezi shtukia labda uifume hiyo line na inafichwa balaa akiwa kazini basi anaweka line hiyo kama siku hiyo ana hamu ya kumega/megwa basi watawasiliana kwa line ya pembeni na yule hawala anapewa namba ya pembeni si namba ya siku zote anayo tumia basi anajivinjali kwa raha zake asubuhi mpaka jioni kazini si anaweza singizia anaumwa au kuna msiba kumbe yupo sehemu anakula raha tu mbona utaamini mpenzi wangu ametulia saa 12 yupo nyumbani hata bar hapitii ooh tupo wote muda wote sijui nini maskini kumbe dili zinachezwa mchana au asubuhi binadamu wajanja sana cmu yake anaweza kukupa au ukachunguza na usione hata sms hata namba mpya.
kwa hali hii na kama haya mstyle yanatumika mungu atupe uvumilivu na upeo wa kuvumiliana katika mahusiano yetu!!
kwa maana nyingine kama watu wameweza kubuni style zote hizo basi kucheat njia mbadala ya kupunguza stressss!!!!!
halafu wengi wanadhani kuchiti ni mpaka m2mie cmu kumbe wakati mwingine huko maofcn wanagaragazana na ma cleaner na wengineo....tunajionea mengi! mie cna imani na mtu ajiheshimu mwenyewe tu bwana.
mtu anaweza asifanye hata moja kati ya uliyouliza na akawa anacheat.kuna watu siku hizi wana do mchana wakati wa lunch time..faster .....saa kumi na mbili yuko home anacheza na watoto na wewe unajiona mjanja kumbe....
Wewe ndio unaelewa game aisee. Kuongezea tu, watu wanatiana kwenye magari, vichaka, na sehemu zingine. Na kutiana hakuchukui masaa...ni vidakika vichache tu kitu na boksi. Halafu mwenzio akirudi jioni saa zile zile za kila siku anakuambia 'hi honey i missed you'...anakupiga na busu wakati katoka kumegwa au kumega..sasa hapo utashuku nini?...ahahahahaha...mlioko kwenye relationship nawaonea huruma sana! Poleni...
mlioko kwenye relationship nawaonea huruma sana! Poleni...