Wewe ndio unaelewa game aisee. Kuongezea tu, watu wanatiana kwenye magari, vichaka, na sehemu zingine. Na kutiana hakuchukui masaa...ni vidakika vichache tu kitu na boksi. Halafu mwenzio akirudi jioni saa zile zile za kila siku anakuambia 'hi honey i missed you'...anakupiga na busu wakati katoka kumegwa au kumega..sasa hapo utashuku nini?...ahahahahaha...mlioko kwenye relationship nawaonea huruma sana! Poleni...
Na wewe ambae hauko kwenye relationship tunakuonea huruma zaidi maana tabia yako ya kula vya wenzio imeshastukiwa. Uko mbioni kunyakwa!
Sivizii vya watu mimi baba....kwani kila demu ana mtu? wewe vipi bana...
Ukweli waujua mwenyewe, ila habari ndio hiyo!
Wewe ndio unaelewa game aisee. Kuongezea tu, watu wanatiana kwenye magari, vichaka, na sehemu zingine. Na kutiana hakuchukui masaa...ni vidakika vichache tu kitu na boksi. Halafu mwenzio akirudi jioni saa zile zile za kila siku anakuambia 'hi honey i missed you'...anakupiga na busu wakati katoka kumegwa au kumega..sasa hapo utashuku nini?...ahahahahaha...mlioko kwenye relationship nawaonea huruma sana! Poleni...
Chakwako kikiwa ndani kikitoka tu nje hicho sio chako tena cha sote.
Kuna rafiki yangu (mdada) anafanya kazi Vodacom,siku moja alinihadithia; ofisi yake ni jirani na ofisi ya kaboss kake (mwanaume) na zimetengwa kwa vioo vizito (semi-tinted), so u can c inside although not very clear. Siku hiyo (mdada) amechelewa kutoka ofisini kufika kwenye gari amesahau funguo za gari akarudi ofisini kwake, akapita ofisi ya kaboss, anackia miguno akageuza shingo na kuangalia vizuri anaona figure mbili juu ya meza, mchezo mtindo mmoja, ilibidi anyate hadi ofisini kwake nakuchukua funguo ya gari bomba, aliyoyaona ni kinyaaaaa!!!!!!
Sipati picha mafaili yote yalitupwa chini..........
Ukirudi nyumbani ooh nimechoka kazi nyingi!!!!
Kuongeza mahaba na kukupa kila ukitakacho! Wengi hii sijui kama wanaijua.
Not easy to know wengine wanakuwa ok kwa kila kitu home but one chance three goals outside!!!
Watu wengi siku hizi bongo wana cheat. Maisha ya mahusiano ni magumu sana.
Mungu atunusuru na balaa hili. Watu hawaoni hili gonjwa la ukimwi!
Othmani Bakayoko uyasemayo ni kweli kabisa yaani ni kuomba tu MUNGU maana wewe unawezakuwa mwaminifu akakuletea magonjwa mwenzio sometimes nawaonea wivu wasiokuwa na mahusiano maana wana uwezo wa kuchagua kuwa hai au awafu watarajiwa.
tupo kwenye boat 1 mami, huko nje jamani mckubali mapenzi bila kinga, cc wa ndani ndio hivyo tena hatuwezi kuwaambia jamaa watumie kinga, yaani bac tu.
Kama huna imani na mzee unamwambia wazi wazi bana kuanzia sasa tunaanza kutumia kama kufa ufe peke yako lasivyo tukapime kwanza.
ninayo lakini sio 100%, ukishang'atwa na nyoka hata kijana kikikupapasa washtuka.....
yale yale ya ma colleague, anasemaga mr wake hachiti kabisa, mana anarudi home saa 11 juu ya alama, jmoc/jpili ni cku ya kupumzika home na familia,yupo free na simu ya mumewe kuanzia kusoma sms hadi kuchunguza jina gani limeongezwa leo etc, lakini angejua huyo mume anayoyafanya chini ya jua nadhani ataparalaizi, mume hajatulia hata nukta.....btw! mie nashangaaga unamwamini mtu kwa kic hicho? yani unajiona kabisa kwamba wewe ni wewe.... mie hata nikimkuta home saa 6 mchana haijanifanya nione kwamba jamaa achezi rafu......haaa