Ni zipi faida na hasara za progressive web app(PWA)?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Habari wakuu. Nimeshauriwa na developer kutengeneza PWA. App yetu ni ya kusomea vitabu. Kabla ya wiki hii sijawahi sikia hii kitu. Nimefanya research nimeona ni kitu kizuri sana.

PWA ni websites ambazo zinafanya kazi kama app za kawaida. Unaweza weka icon kwenye home screen ka ya app zingine. Inaweza tumika kwenye ios, android na desktop. Unaweza itumia offline na haili space wakati wa kuinstall. Tena wanasema gharama za mantainance na kutengeneza zipo chini, na urasimu wa app stores haupo. Na ukitaka kumonetize hakuna makato ya app stores.

Wasiwasi wangu mkubwa ni kitu kizuri hivi kutokuwa maarufu sana. Japo makampuni makubwa kama Twitter, Spotfy, Forbes nk wanatumia.

Naomba kujuzwa, hasa hasara za PWA na kama zinafaa kwa app ya kusomea vitabu.
Hizi ni baadhi(ukiacha hiyo ya equity)nilizoziona wakati naangalia zinakuwaje.

Screenshot_20220428-095853.png
 
Kwanini usitumie native solutions. Au yeye ni web dev anakulazimisha kutengeneza web app kwasababu hafahamu mobile development?.
 
Anafahamu. Anasema ni nzuri sababu inatumika kote, ios, android na kwenye desktop. Na hakuna percent za appstores. Na mimi nimeona ni advantage. Lakini nuna wasiwasi kwa nini si maarufu hivyo, zina shida gani?
 
Naombeni msaada.....nasoma chuo X hapa tz , Ni finalist na nnatakiwa kufanya final year project ili niwe awarded degree ya computer science....

Changamoto ipo hivi , tulipebdekeza project title nyingi Sana na baadae moja ikapita,

Title ilikuwa chronic desease management information systems (CDMIS).
Lengo Ni ku keep record za Hawa watu, na system ilipangwa kuwa na 5 users dactari,system administrator, madijala, pharmacist,na mgonjwa mwenyew.... Tulipanga kuintergrate na sms ili mgonjwa awe anapata sms za kumjumbusha mda wa kunywa sawa, kuhudhulia clinic na kubeba dawa na kadhalika , mgonjwa atakuwa na ID namba itayomtambulisha popote , na akienda hospital atataja namba na atapata huduma, baada ya kuhudumiwa dactar ataongeza taarifa za mgonjwa na atasevu tareh na Nini kamhudumia kwa siku hiyo, na Kama mgonjwa ataenda kutibiwa na hospital nyingine atataja namba tu na dactar anaweza Ina taarifa za mgonjwa na background ya kimatibabu,

System administrator anasajili madactar na wahudumu wengine katika system, dactar Ni mtu wa huduma tu na kuongeza vitu ambavo mgonjwa kahudumiwa katika siku husika, madijala anasajili wagonjwa , pharmacist Ni mtu wa madawa na anagawa dawa kutokana na maagizo ya dactar,

Gap...
Kuna GOTHOMIS ambayo inaoperate in a local area na single hospital na Ni too general sis tumespecify...huko mgonjwa atasajili upya Kila hospital...

Katika mfumo wetu tunaangazia kuwa na shared database katika hospital zote , means that the system is distributed although it doesn't have all characteristics....system hii tulitoa maelezo mengi Zaid ya haya katika ku defend title na ikapita....then tukapewa supervisor wetu kwaajili ya kutuongoza

Supervisor akasema haielew title hivo tutafte title nyingine...alipoulizwa how will you make your system distributed tulimjibu kwamba cloud computing Ina service tatu ambazo Ni infrastructure as a service,platform as a service na software as a service.,..sis tutahost system yetu katika cloud severs Kama digital ocean na nyinginezo kwa ajili ya presentation na demonstration...na kwakuwa huko Kuna network of servers our system will be distributed...ticha kaikataa kasema totengeneze distributed system kwa gharama zetu wenyew ,na tuwe na server Zaid ya moja na to show how data are synchronized, kwa gharama za hii idea yake sisi hatuwez Ni Bora wabaki tu na degree yangu, tukamuuliza tufanyaje ili iwe unavotaka ,na tupite njia zipi kasema hajui hata yeye,....ukumbuke supervisor Ni mtu wa kutuelekeza na sio kukomoa Kwan nae anacredit tukifanikiwa hapa, ...akasema kuwa distributed kwa kuihost tu cloud hautoshi kutupa degree hivo tutafte complex system Zaid ya hii...kasema ni very simple ila hajui tumeumizwa kichwa kias gan mbaka imekuwa nyepes hivi kwa maelezo,...ko katukataa na tukiomba kubadilishiwa supervisor ttaonekana niyeyusho na ttakuwa tmejipalia Moto ,Kila title tunayompelekea anakataa na Sasa tunakaribia proposal presentation ili tupate go ahead ya kufanya project....akili umechoka Sana na Sina title nyingine....

Huenda ticha Hana lengo baya ila nimekwama hapo wakuu...yeyote mwenye idea msaada mwenye title kali ya system anisaidie namba yangu Ni 0656513904.....naombeni msaada wa hii kitu wanajamvi degree naikosa na nmepambana Sana had hapa....wahadha salaam
 
Dah huyo amewakomoa kweli. Hiyo yenyewe uliyoitaja kama kuna wachache wanaojua programming kwenye group (kama mnafanya kwa group), muda ni mchache sana. Sijui nyie lakini sisi tuna kama mwezi tu. Siku zote programming kwenye mdomo ni rahisi lakini kuna bugs huwa zinatokea unasolve hata week. Halafu lengo la project mimi naona una showcase ulichojifunza in 3 years na system unique kuzipata kwa sasa sio rahisi (lakini inawezekana) ni kuboresha tu zilizopo.
 
Msaada wa title ....final presentation Ni tar 15 mwez wa nane
 
Anafahamu. Anasema ni nzuri sababu inatumika kote, ios, android na kwenye desktop. Na hakuna percent za appstores. Na mimi nimeona ni advantage. Lakini nuna wasiwasi kwa nini si maarufu hivyo, zina shida gani?
Pwa ni web app iliochangamka, yenyewe ni website ambayo inayoweza kutumika offline, na pia unapata notification na baadhi ya feature za Native apps.

Unless huna idea kabisa Pwa si kitu cha kumuajiri mtu ni kama tu una Convert Pdf kwenda word, mfano angalia step za Kutengeneza pwa kwenda Store ya Microsoft

Hivyo mtu anaweza akawa anaku Convice Njia ya Pwa as means ya kukupiga Hela, na sio kukusaidia wewe Project yako kukubalika. Kutokana na kazi Yako wewe mwenyewe amua unataka Nini.
 
Shukrani sana mkuu Mkwawa kwa mwanga huu.
 
Back
Top Bottom