#COVID19 Ni zipi faida za chanjo? Maana naona waliochomwa na wasiochomwa wapo sawa tu

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Hivi mpaka sasa mnaweza kunambia faida za chanjo?

Nauliza maana naona waliochomwa na wasiochomwa ni sawa tu maana kila wimbi nao tumo nao tu na kuugua kama sisi tu,ikitokea inafyeka nao inawafyeka tu, kiukweli nimejikuta najiuliza!

Chanjo ya covid ina faida gani?Au ina kazi nyingine?
 
Ngoma ni sare, waliochanja wasasubiri wasiochanja wafe na wasiochanja wanasubiri waliochanja wafe. Hivyo tunasubiriana.
 
R.I.P Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…