Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,859
- 3,008
Habari zenu wanaJF,
Kama mjuavyo baadhi ya madhehebu hususani haya ya kipendekoste wana utaratibu wao wa kuchumbia ambao sharti uanze kwa mzee wa kanisani kumuelezea dhamira yako juu ya binti ambaye umempenda kabla hata hujaongea naye.
Sasa hapa kanisani kwetu kuna binti mmoja nimemchunguza kwa muda mrefu na nikaona kuwa ana sifa zote za kuwa mke kabisa.
Na utaratibu wa dhehebu letu ni huo. Natamani nijitose mwenyewe ila kulingana na mtoto huyu alivyo geti kali sana nahisi nitadunda je, nitumie utaratibu huu wa kanisa au niache na zipi faida za utaratibu huu kwa wale ambao wamewahi kutumia njia hii asanteni sana.
Karibuni kwa michango yenu