Binafsi nimeona bidhaa zinazotoka china zimepanda bei, wauzaji wakisingizia, au labda ni kweli kwamba viwanda vimefungwa, hivyo wanauza stock wakiwa hawajui mwisho wa tatizo , kuna watu watatajirika kutokana na huu ugonjwa.
Wadau
Ni nini kingine unakiona kama fursa kutokana na na huu ugojwa? Hizo mbwembwe nilizo sema hapo juu , binafsi nimeziona kama hao wafanya biashara wameona fursa so wanazitumia ipaswavyo!
Sent using
Jamii Forums mobile app