Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kwani unaishi nchi gani? Kama ni Mtanzania na unaishi Tanzania, forget it. Huna hadhi yoyote ya kidiplomasia, hata kama mume wako alikuwa balozi akiwa na miaka 18, na ukoo wake mzima walikuwa mabalozi na majaji wakuu wakiwa na miaka 18. Kwa kifuoi, hadhi ya kidiplomasia ni nje ya nchi na ni kwa active duty diplomats tu, siyo ex-diplomats, least of all their spouses.