Ni zipi hatua za kufuata ukitaka kuanzisha tamasha?

Ni zipi hatua za kufuata ukitaka kuanzisha tamasha?

ronald24

New Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Habari ndugu zanguni.

Naomba kwa anayejua process yakuanzisha festival Tanzania.

Nilazima niwe Na kampuni au nikupata vibali vya halmashaur tu Ya sehemu husika unapotaka kuweka Tamasha?

Naomba msaada
 
Back
Top Bottom