Nikitaka kununua gari, je ili niwe salama kwa habari ya umiliki wa gari nililonunua kwa mtu ni mambo gani ya lazima kuyafanya kwanza kabla ya kuitumia barabarani yanayohalalisha umiliki wangu?
Kuna uzi umeelezea vizuri, nadhani ni RRONDO alipost kama sikosei. Ngoja niufufue ili uusome alichambua vizuri. Ila kitu muhimu hakikisha gari hiyo hidaiwi kodi na tozo nyingine.
Pili hakikisha anayekuuzia ndiyo mmiliki ili usiuziwe kitu cha wizi.
Hakikisha gari haijawahi kufanya matukio ya uhalifu (hapa polisi wanahusika).
Mwisho hakikisha mmeandikishana mahakamani au mwandishi wa umma uwe na mashihidi wa kuaminika.