jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kwa namna yoyote ni lazima tulipe kodi au tozo ili tusimame kama nchi inayojitegemea.
Wahuni wameharibu maana nzima ya tozo au kodi kiasi cha kuzua taharuki nchini.yaani watendaji wetu wamefanya kusudi katika implimentation ya namna ya kulipisha kodi kwa kila Mtanzania.
HOJA MUHIMU
1-Kila mtanzania lazima alipie kodi...hii ni fact na haitobadilika na kamwe asije mwanasiasa wa kutudanganya juu ya hili.
2-Kodi isiwe ni mara mbili au tatu kumuumiza mwananchi(hapa watendaji watusaidie).yaani mfanyakazi kawekewa mshahara benki halafu anakatwa tena kodi wakati anatoa ,anatumia au anaituma na mpokeaji anakatwa...hii imeleta sintofahamu kwenye jamii.
3-Kodi inatumikaje haswa? Yaani tozo au kodi lazima ionekane na mwananchi wa kijijini jinsi ilivyoleta tija
4-Wahuni wa kuuza mafuta lazima wabanwe vilivyo wasije haribu nchi.
5-Mikopo na misaada lazima iende kwenye issues zenye tija,ni upuuzi kusaidiwa mabox ya condoms...rather tusaidiwe viwanda vya condoms.
Ni hayo tu kwa leo.
Kwa hisani ya mtu wa Tanzania!