Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Hello JamiiForums,
Leo ni jumapili ya mwisho ya mwezi wa saba kwa mwaka 2024 siku muhimu na siku pekee kuhudhuria kanisani baada ya kuasi kwa takribani miaka sita.
Mungu ni mwema Mungu ni muweza, amenifanya kiumbe kipya najisikia faraja na furaha baada ya kuirejea na kuitimiza ibada kwa wakati mwingine.
Hongera mke wangu, hongera mama yangu,hongera boss wangu na hongera kwa watu wote waliofanikisha na kuhakikisha naenenda na kuyaishi maisha yampendezayo Mungu.
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa ,hujachelewa bado mwanajamiiforum.
Karibuni sana tuzikaribie njia zinazompendeza Mungu.
Nb: Kuna watu Jana baada ya kupost uzi wa kuacha pombe walishauri nibadili na hii I'd, na avatar.
Ni kweli nimebadili avatar ila hii I'd, sibadili kwasababu Jackline ni jina la binti yangu. Daniel ni Mimi mwenyewe.
Ahsanteni sana.