Niacheni kwanza ninyooshe nchi

Niacheni kwanza ninyooshe nchi

ogakison

Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
68
Reaction score
12
Hv bado hatuja nyooka tu.
Ndoto za katiba mpya zpo kwel.?
 
mwaka mzima unanyoosha nini...sasa nafikiri ni muda wa kutake off...
 
'Na fedha zitaendelea kuadimika tu' JPM,wacha tuendelee kunyooshwa kwa pasi ya mkaa.
 
Tunyooshe tu mzee tutafanyaje sasa na wewe ndio amiri jeshi mkuu
 
Back
Top Bottom