We vipi ? nini mimba mwenzako keshazaa nae na mambo ni kama unavyoyaona-tatizo ni kamba huwezi kuachia urithi wa bibi kwa muda mrefu bila tiba yake ,lazima vijana wataigusa hazina ya bibi! hata urithi wa babu usipotimizia haki yake wiki tu unachanganyikiwa!Inakuwaje unaoa halafu unamwacha mkeo bongo?labda ungempa mimba ndio uondoke otherwise lazima apate replacement
Frank Mtao- lakini si alioa mzungu waliyekutana Japan ndio akapata mchongo wa kwenda kuishi Australia na binti wa kizungu au Frank alioa wote wawili??!!!
Tena aliaga kabisa kwenye kipindi Alichokuwa anaendesha channel 10, kuwa kapata mzungu baada ya ndoa yenye mateso.
Wanaume bwana!! View attachment 125488
Mmh mtumishi wa mungu uyo
Ray nae huwa hajui kuchagua mademu wakali,vitu vikali vyote alikua anakula the great,afadhali haka angalau
Ukali wa demu uko kitandani wewe
tena unapotea zaidi ya miaka 10 eti unatafuta maisha unaona njia pekee ni kumtumia pesa .
hii lazima utasaidiwa tu na vijana
Wabongo bana......kama kusoma hamjui si muangalie picha.
Miaka yote hiyo ughaibuni kama bado alimtaka huyo bibie si angemchukua wakaishi wote ?...hiyo ni aina nyingine tu ya kibuti mazee.
Ila Ray ataasili katoto kazuri.
............ila wenzangu nawapongeza kwa kutafuta data.....hizi nguvu tukiwekeza kwenye science tutafanikiwa kusafisha maji ya bahari na kuyafanya yatumike na binadamu...majumbani na mashambani......pia tutawauzia na nchi jirani wasio na access na maji ya maziwa na bahari.
kumegewa ni lazma!! ila huyo dada angemegwa na mtu wa maana, sio ray! uchafu mtupu!
ooops hata sielewi kitu hapa
kumegewa ni lazma!! ila huyo dada angemegwa na mtu wa maana, sio ray! uchafu mtupu!