Economy na performance haviwezi kaa sehemu moja.Wakuu msaada wa selection ya gari nzuri (based on muonekano, economy na performance) bajeti 14 - 17 mwisho. Gari kwa ajili ya route tu mitaani na trip tatu/nne kwa mwaka za dar mwanza.
My suggestion ilikua toyota auris au blade… napokea na ushauri kwa magari hayo!
Economy na performance haviwezi kaa sehemu moja.
Bado hujajua unachokitaka.
Fortuner ya engine ipiUngeongeza hela ningekupa fortuner ina sifa ulizotaja
2TR-FE 2.7Fortuner ya engine ipi
Wakuu msaada wa selection ya gari nzuri (based on muonekano, economy na performance) bajeti 14 - 17 mwisho. Gari kwa ajili ya route tu mitaani na trip tatu/nne kwa mwaka za dar mwanza.
My suggestion ilikua toyota auris au blade… napokea na ushauri kwa magari hayo!
1.Vw cross POLO cc 1300 1L/ 14-17km
2.Subaru Impreza 2012 cc 1990 1L/ 10-14km
3.BMW 3series cc 1990 1L/10-12km
4.Crown 4GR cc 2490 utapata performance ila mafuta 1L/8-12 km inategemea na uendeshaji wako
Umezingatia bajeti yake Kiongozi?
Subaru forester SG5 Model inafit kwenye bajeti yako na itakupa performance nzuriWakuu msaada wa selection ya gari nzuri (based on muonekano, economy na performance) bajeti 14 - 17 mwisho. Gari kwa ajili ya route tu mitaani na trip tatu/nne kwa mwaka za dar mwanza.
My suggestion ilikua toyota auris au blade… napokea na ushauri kwa magari hayo!
1.Vw cross POLO cc 1300 1L/ 14-17km
2.Subaru Impreza 2012 cc 1990 1L/ 10-14km
3.BMW 3series cc 1990 1L/10-12km
4.Crown 4GR cc 2490 utapata performance ila mafuta 1L/8-12 km inategemea na uendeshaji wako
Year:2012Weka picha mkuu na bei yako hapa kama utojali!
Weka picha mkuu na bei yako hapa kama utojali!
Hii ndinga hautojutia pesa yako mkuuWeka picha mkuu na bei yako hapa kama utojali!