Umenuna chuma ganiHapana nliongeza mzee! Nmelipia dollar 5300 kuiagiza! Bado ushuru na usajili
Bora umechukua gari kubwa ila mambio usifanye ni hatareFeedback!
Nlihamua kuhamia kwenye subaru forester XT 2009, nmeshagiza na bforward naisubiria now. Asanteni kwa ushauriView attachment 2446731
View attachment 2446732
Kwani aliyotaka kuchukua ilikuwa ndogo? Vp wewe ile Toureg yako inapiga kazi vzr?Bora umechukua gari kubwa ila mambio usifanye ni hatare
Imekugharimu kiasi gani mkuu mpaka utakapoipokea?Feedback!
Nliamua kuhamia kwenye subaru forester XT 2009, nmeshagiza na bforward naisubiria now. Asanteni kwa ushauriView attachment 2446731
View attachment 2446732
Hongera mkuu kwa chuma ya maana23.5m mkuu.
SafiFeedback!
Nliamua kuhamia kwenye subaru forester XT 2009, nmeshagiza na bforward naisubiria now. Asanteni kwa ushauriView attachment 2446731
View attachment 2446732
Unaweza kupata vyote kwa engine za kisasa, ila ni very expensive optionEconomy na performance haviwezi kaa sehemu moja.
Bado hujajua unachokitaka.