Hance Mbuya
Member
- Apr 11, 2012
- 45
- 12
Nilikuwepo ila maisha tu ndugu yalinipiga vibaya
Maisha yatakuwa mazuri tu siku utakapoimbiwa parapanda ila kbla ya hapo ni kukomaa tu mzazi!
Maisha yatakuwa mazuri tu siku utakapoimbiwa parapanda ila kbla ya hapo ni kukomaa tu mzazi!
pambana ndiyo maisha hakuna kutulia mkuu ,,, ukiona unakairibia kula vumbi ndiyo ujue utapumzika salama
Pole mazee.......komaa kijana! usimbwele mbele ya goli!
Msamiati mgumu nilitegemea ungemalizia ukiona mateso yamezidi jua neema inakaribia