Bismack JF-Expert Member Joined Mar 12, 2018 Posts 387 Reaction score 495 Apr 2, 2018 #1 Hivi hata wanawake wa kisukuma wana tabia kama wanaume wa kisukuma? nisjie nikaoa mwanamke asiyeambilika nikajuta.
Hivi hata wanawake wa kisukuma wana tabia kama wanaume wa kisukuma? nisjie nikaoa mwanamke asiyeambilika nikajuta.
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,784 Reaction score 13,642 Apr 2, 2018 #2 Jiandae kula michembe
L Lihove2 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 3,545 Reaction score 6,512 Apr 2, 2018 #3 Wakiwa na kipato cha kukuzidi,utadekishwa
Bismack JF-Expert Member Joined Mar 12, 2018 Posts 387 Reaction score 495 Apr 2, 2018 Thread starter #4 Chupayamaji said: Jiandae kula michembe Click to expand... michembe ndo nn mkuu
kanali mstaafu JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 4,318 Reaction score 4,105 Apr 2, 2018 #5 Nipo seat ya tatu kushoto
wamaukweli JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 1,084 Reaction score 1,277 Apr 2, 2018 #6 Sifa kuu yakabila hili nimajigambo
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,357 Apr 2, 2018 #7 Bismack said: Hivi hata wanawake wa kisukuma wana tabia kama wanaume wa kisukuma? nisjie nikaoa mwanamke asiyeambilika nikajuta. Click to expand... Huyo hasiyeambilika uliyemuona wala sio Msukuma
Bismack said: Hivi hata wanawake wa kisukuma wana tabia kama wanaume wa kisukuma? nisjie nikaoa mwanamke asiyeambilika nikajuta. Click to expand... Huyo hasiyeambilika uliyemuona wala sio Msukuma