Red shadow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,411
- 1,991
Yaani ununue kifurushi la 110k then utazame chaneli za burundi ambazo zinapatikana hata kwenye kifurushi cha ten?Kwa kua nimenunua kifurushi cha laki na kumi pasi na kupenda basi ningependa nione channel ambazo sijawai ona
Nipeni code za chanel hizi
-chanel za burundi
-chanel zq central africa
-chanel za msumbiji
-chanel za botswana
-chanel za comoro
-chanel za sudan
-chanel za somalia
-chanel za congo
Na zingine za ajabu ajabu
Kadata huyoYaani ununue kifurushi la 110k then utazame chaneli za burundi ambazo zinapatikana hata kwenye kifurushi cha ten?
Shemeji (mume wa dada yako) leo hayupo?Kwa kua nimenunua kifurushi cha laki na kumi pasi na kupenda basi ningependa nione channel ambazo sijawai ona
Nipeni code za chanel hizi
-chanel za Burundi
-chanel zq Central Africa
-chanel za Msumbiji
-chanel za Botswana
-chanel za Comoro
-chanel za Sudan
-chanel za Somalia
-chanel za Congo
Na zingine za ajabu ajabu
sizijui nimevurugwa we nitajie nione machanel yote ya ajabuYaani ununue kifurushi la 110k then utazame chaneli za burundi ambazo zinapatikana hata kwenye kifurushi cha ten?
nina ishi kwangu acha dharauShemeji (mume wa dada yako) leo hayupo?