Niambieni jamani hivi..............

Niambieni jamani hivi..............

rununu

Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
57
Reaction score
2
"Nyimbo hii itachangia kuharibu kiswahili" naomba mniambie kama ni sahihi kutumia "Nyimbo" katika umoja maana The boss ametumia nyimbo katika uwingi wakati wa kuuelezea wimbo wa hakunaga wa sumalee kwamba utachangia kuharibu lugha ya kiswahili, kwa maelezo niliyoyaweka katika alama za fungua na funga semi.
 
Back
Top Bottom