Niambieni kuhusu biashara na mzunguko wa pesa Iringa mjini

Niambieni kuhusu biashara na mzunguko wa pesa Iringa mjini

Founder Tz

Member
Joined
Feb 20, 2022
Posts
47
Reaction score
129
Wana Iringa habarini,

Vipi ukuaji wa huu mji, mzunguko wa pesa, uchumi na hali ya kibiashara mjini hapo.

Nafikiria kufungua hardware mjini pale, ushauri na muongozo wenu utaniokoa.
 
Wana Iringa habarini,

Vp ukuaji wa huu mji, mzunguko wa pesa, uchumi na hali ya kibiashara mjini hapo.

Nafikiria kufungua hardware mjini pale, ushauri na muongozo wenu utaniokoa.
Ndo maana wachaga wanatuacha mbali. Wao hawaulizi unamkuta field anapiga pesa. Sasa Mndengereko unataka uambiwe ukuaji wa mji
 
Mkuu iringa ndio nyumbani kabisaaa,kuhusu biashara Kwa uzoefu wangu sio pazuri kwasababu idadi ya watu sio kubwa,yani ni mji ambao hauna mzunguko mkubwa wa hela ni mji wa watumishi,labda msimu wa mavuno ndio wakulima wanafanya mzunguko wa pesa uwepo,ila kama unahitaji tu kuishi ni mji mzuriii sana.Kwa huku kwetu nyanda za juu kusini sijaona mji wa kuizidi tunduma biashara,yangu ni hayo
 
Wana Iringa habarini,

Vipi ukuaji wa huu mji, mzunguko wa pesa, uchumi na hali ya kibiashara mjini hapo.

Nafikiria kufungua hardware mjini pale, ushauri na muongozo wenu utaniokoa.
Iringa fanya biashara ambayo lenga soko lako liwe ni wanachuo nje na hapo ni kimbembe
 
Ndugu zangu wanyalukolo. Binti yenu huyu
Screenshot_20220619-193019.jpg
 
Back
Top Bottom