Founder Tz
Member
- Feb 20, 2022
- 47
- 129
Ndo maana wachaga wanatuacha mbali. Wao hawaulizi unamkuta field anapiga pesa. Sasa Mndengereko unataka uambiwe ukuaji wa mjiWana Iringa habarini,
Vp ukuaji wa huu mji, mzunguko wa pesa, uchumi na hali ya kibiashara mjini hapo.
Nafikiria kufungua hardware mjini pale, ushauri na muongozo wenu utaniokoa.
Sasa tutajuaje kuwa ana plan ya kufungua duka la hardware Iringa?Upo dunia gani hadi unashindwa kufika Iringa kufanya utafiti mwenyewe!?
Iringa fanya biashara ambayo lenga soko lako liwe ni wanachuo nje na hapo ni kimbembeWana Iringa habarini,
Vipi ukuaji wa huu mji, mzunguko wa pesa, uchumi na hali ya kibiashara mjini hapo.
Nafikiria kufungua hardware mjini pale, ushauri na muongozo wenu utaniokoa.
Sasa tutajuaje kuwa ana plan ya kufungua duka la hardware Iringa?