Umeoa kwanza? Usije ukaleta nadharia kama za waandishi wa vitabu vyenye kuhamasisha watu juu ya utajiri na wao hata ya vocha wanapiga mzingaHabari zenu ndugu wa MMU. Mnikaribishe na humu pia maana humu ndio kutakuwa jikoni kwangu. Nataka nitibu ndoa nyingi na mahusiano mengi iwezekanavyo kupitia makala zangu, vitabu na mbinu yoyote ile ambayo ni sahihi. Kama yupo anayebisha basi huyo ndio shida yenyewe.
Hivyo kwa kuanza naanza na kauli mbiu kuwa Mungu alimuumba mwanamke toka ubavu wa mwanaume ili awe karibu na moyo wake na sio miguuni pake.
Kama uko nami gonga likes na uweke mawazo yako hapo
Weka humu 🗑️Habari zenu ndugu wa MMU. Mnikaribishe na humu pia maana humu ndio kutakuwa jikoni kwangu. Nataka nitibu ndoa nyingi na mahusiano mengi iwezekanavyo kupitia makala zangu, vitabu na mbinu yoyote ile ambayo ni sahihi. Kama yupo anayebisha basi huyo ndio shida yenyewe.
Hivyo kwa kuanza naanza na kauli mbiu kuwa Mungu alimuumba mwanamke toka ubavu wa mwanaume ili awe karibu na moyo wake na sio miguuni pake.
Kama uko nami gonga likes na uweke mawazo yako hapo
Inasikitisha sana mkuu
Kwani ndoa wanafunga wanyama? Watu siyo wagumu, ndoa ndiyo ngumu, wewe kama bila ndoa tuone kama utakuwa ngumu.Habari zenu ndugu wa MMU. Mnikaribishe na humu pia maana humu ndio kutakuwa jikoni kwangu. Nataka nitibu ndoa nyingi na mahusiano mengi iwezekanavyo kupitia makala zangu, vitabu na mbinu yoyote ile ambayo ni sahihi. Kama yupo anayebisha basi huyo ndio shida yenyewe.
Hivyo kwa kuanza naanza na kauli mbiu kuwa Mungu alimuumba mwanamke toka ubavu wa mwanaume ili awe karibu na moyo wake na sio miguuni pake.
Kama uko nami gonga likes na uweke mawazo yako hapo
Nina ndoa mkuu. Hilo usiwe na shaka. Nitaweka nadharia na uhalisia piaUmeoa kwanza? Usije ukaleta nadharia kama za waandishi wa vitabu vyenye kuhamasisha watu juu ya utajiri na wao hata ya vocha wanapiga mzinga
Punguza hasira za mapema. Niaminishe kuwa sio mapenzi yamekushawishi kuweka dustbin hapoWeka humu 🗑️
Shida kwenye ndoa ni kukosekana same page. Pia ukishakuwa na mke zaidi ya mmoja tegemea loloteKuna yule dokta alikuwa anajifanya bingwa wa kuijua ndoa kwenye tv,mwisho na yeye yakamkuta.
Ndoa Haina mjuzi Wala formula,ni bahati tu
Walengwa ni vijana, wachumba na walio katika ndoa. Kama ukichukua ushauri na kuutumia kutapeli wadada, ni juu yakoUnashauri wanandoa tu au mahusiano ya kimapenzi kwa ujumla?
Ongeza 6. Kusingekuwa na Machangudoa Wengi miTaani na Michepuko kila mahaliKuna uwezekano huja oa, ukaona yaliyomo ndani au basi umeoa goli kipa....
Hata hivyo ndoa ingekuwa rahisi kama unavyofikiri.....
1. Talaka/ Kuachana/ kutengana hakungekuwepo
2. Baadhi ya viongozi wa dini hawange acha kuoa...
3. Watoto wa mitaani hawangekuwepo (kwani watu wangetulia kwenye ndoa zao).
4. Single mothers hawangekuwa wengi
5. Hivi unajua kwa nini wanaume wali usiwa kwenye Biblia waishi na wanawake kwa akili?
Basi sawa, naomba niwe mteja wako wa kwanza.Walengwa ni vijana, wachumba na walio katika ndoa. Kama ukichukua ushauri na kuutumia kutapeli wadada, ni juu yako
kama Jasusi Pori la Mbutu, mzee wa bamiaUmeoa kwanza? Usije ukaleta nadharia kama za waandishi wa vitabu vyenye kuhamasisha watu juu ya utajiri na wao hata ya vocha wanapiga mzinga